Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiizindua rasmi kamati ya wajumbe wa
kuchangisha fedha kwa ajili ya ununuzi wa madawati katika Skuli za
Zanzibar katika ukumbi Ikulu ndogo Kibweni leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiizindua rasmi kamati ya wajumbe wa
kuchangisha fedha kwa ajili ya ununuzi wa madawati katika Skuli za
Zanzibar katika ukumbi Ikulu ndogo Kibweni leo,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269