SIMBA WA VITA AMEFARIKI LEO CCM Blog 12/31/2009 Marehemu, Mzee Rashiud Kawawa enzi za uhai wake Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mzee Kawawa mapema mwaka huu. RAIS Jakaya Kikwete a... Read more »
SIMBA WA VITA ALAZWA CCM Blog 12/31/2009 RAIS Jakaya Kikwete akimjulia hali Mzee Rashid Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili leo jioni. Kulia ni Profesa Victor Mwaf... Read more »
GABRIEL AMOSS MAKALLA AUKWAA UENYEKITI CHIPUKIZI TAIFA CCM Blog 12/30/2009 Gabriel Amos KATIBU wa Siasa na Uenezi wa mkoa wa Morogoro, Kulwa Milonge, akimpongeza Gabriel Amos baada ya kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa C... Read more »
HABARI KATIKA PICHA: KIFIMBO CHA MALIKIA KILIPOTINGA IKULU CCM Blog 12/29/2009 RAIS Jakaya Kikwete akipokea kifimbo cha Malikia Elizabeth wa Uingereza, kutoka kwa mwanariadha Mary Naali, Ikulu, Dar es Salaam, leo WATOT... Read more »
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, WILLIAM LUKUVI AFANYA ZIARA GHAFLA SOKO LA SAMAKI FERI NA KUKUTA... CCM Blog 12/29/2009 WATU wakigombea maji bombani katika soko hilo, leo WAVUVI wakimsafisha samaki aina ya Papa, katika soko hilo la samaki la Feri MZUNGU raia ... Read more »
YANGA ILIPOINYUKA SOFAPAKA NA KUTWAA UBINGWA TUSKER CUP CCM Blog 12/28/2009 Watu kibao wakishuhudia mtanange huo, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam Kikosi kamili cha Sofapaka ya Kenya kilichopambana na Yanga Kiko... Read more »
MATUKIO KTK PHOTOS CCM Blog 12/27/2009 Mpigapicha wa gazeti la mwananchi, Emmanuel Herman akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mkewe, Mary Bernad aliyefariki tarehe 24 katika Hos... Read more »
SIMBA YAFANIKIWA KUWA YA TATU BAADA YA KUINYUKA TUSKER, TUSKER CUP CCM Blog 12/26/2009 MSHAMBULIAJI wa Simba, Juma Jabu akimtoka mlinzi wa Tusker ya Kenya,Francis Oduor, timu hizo zilipopambana jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar... Read more »
YANGA YAINYUKA SIMBA 2-1, TUSKER CUP CCM Blog 12/24/2009 MCHEZAJI Shadrack Nsajigwa wa Yanga akichuana na Juma Jabu wa Simba, timu hizo zilipomenyana jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, ka... Read more »