Your Ad Spot
Nov 29, 2012
WATANZANIA WAISHIO UJERUMANI KUMUAGA BALOZI AHMADA NGERERA DESEMBA 8, MWAKA HUU MJINI BERLIN
Umoja wa Tanzania Ujerumani (UTU) unaheshima kubwa kutarifu na kuwaomba watanzania wote wanaoishi ujerumani na jirani ya Ujerumani kuwa...
Nov 27, 2012
MWILI WA MSANII WA BONGO MOVIE JOHN MAGANGA WAZIKWA LEO
Wasanii wa Bongo Movie wakibeba jeneza lenye mwili wa msanii mwenzao, John Maganga, wakati wa kuaga mwili wa msanii huyo, Mwananyamala, D...
WIZARA YA FEDHA YASAINI MKATABA WA BILIONI 33 NA UHOLANZI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Balozi wa Uholanzi nchini Dr. Ad Koekkoek (kulia) wakibadilishana hati ya ...
Nov 26, 2012
JK AONGOZA HARAMBEE CHUO KIKUU CHA ST. JOHN
Mkurugenzi mkuu wa PPF Bwana William Eriyo akikabidhi hundi ya shilingi milioni kumi kama mchango wa shirika lake kwa ajili ujenzi ya Ho...
VIONGOZI WA CHADEMA MBARONI KWA WIZI WA MILIONI 16 ZA KIJIJI
GEITA, TANZANIA Baada ya Naibu Waziri Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Aggrey Mwanri, kuagiza waliohusika na upotevu ...
UNCTAD LAUNCHED ONLINE THE 2012 LEAST DEV. CONTTRIES REPORT (LDCs)
Dear colleagues, Today,26 November 2012,the United Nations Conference onTrade and Development(UNCTAD) launched online the 2012 Least Deve...
Nov 25, 2012
WAANDISHI WALIOKUWA KATIKA ZIARA YA NDUGU KINANA WAREJEA DAR ES SALAAM
Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Mohamed Seif Khatib, wakiwa na maofisa wa Chama na Waandis...
SHIA DAR WAADHIMISHA SIKU YA KIFO CHA MJUKUU WA MTUME MOHAMMAD (S.A.W).
Pichani Juu na Chini Waumini wa dhehebu la Shia wakiwasili na kukusanyika katika eneo la makaburi ya Washia Kisutu jijini Dar es Salaam ...
Nov 24, 2012
Nov 23, 2012
KINANA AHUTUBIAMAELFU YA WATU GEITA JIONI HII
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa mpira mjini Geita, a...
ZIARA YA DK. SHEIN VIETNAM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto)m akizungumza na Makamo wa Rais wa Vietnam Bibi Nguye...
KINANA ATUA TABORA KWA MUDA AKITOKEA RUKWA KWENDA GEITA ASUBUHI HII
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akikaribishwa na Mkuu wa mkoa wa Tabora, Fatma Mwassa baada ya kutua kwa muda mkoani hapo akiwa nji...
KWA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO TU
TFF itakuwa na mkutano na waandishi wa habari LEO siku ya Ijumaa (Novemba 23, 2012) Muda: Saa 7.30 mchana Mahali: Ukumbi wa Mikutano T...
ZIARA YA KINANA MKOANI RUKWA
Katibu Mkuu wa CCM, Kanali Mstaafu, Abdulrahman Kinana akipokea saluti ya Chipukuizi wa CCM, wakati wa mapokezi yake kwenye Uwanja wa Ndeg...
Nov 20, 2012
VODACOM YAICHANGIA HOSPITALI YA CCBRT SH. BILIONI NANE
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikweteakionesha cheki ya Shilingi bilioni Nane iliyotolewa na Kampuni ya VODACOM kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ...
MAONYESHO YA VIFAA VYA UJENZI NA SAMANI ZA NDANI YAFUNGWA RASMI JIJINI DAR
Afisa uhusiano wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi. Roida Andusamile (wa pili kushoto) akimkaribisha Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamla...
Nov 19, 2012
TUME YA AJALI YA MELI YA SKAGIT YATOKA LEO
ZANZIBAR, TANZANIA Tume iliyoundwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuchunguza ajali ya meli ya MV. Skagit iliyo...
VIJANA NCHINI WATAKIWA KUJIFUNZA ELIMU YA UJASIRIAMALI ILI KUONGEZA THAMANI KATIKA KAZI NA BIASHARA
Wahitimu wa Global Entreprenuership Week Tanzania katika picha pamoja na mgeni rasmi na wawezeshaji. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU JACKSON MAKWETA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha maombolezo ya marehemu Jackson Makweta, nyumbanikwa marehemu, Boko jijini Dar es sala...
Post Top Ad
Your Ad Spot