JK AKUTANA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA IRAN NA MJUMBE WA RAIS WA BURUNDI IKULU DAR ES SALAAM LEO CCM Blog 5/30/2012 1 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012 Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyab... Read more »
WAZIRI ABOUD NA ASKOFU MOKIWA WAZUNGUMZIA VURUGU ZA ZANZIBAR CCM Blog 5/30/2012 0 Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohd Aboud Mohd akifafanua jambo alipozungumza na Maaskofu mbalimbali kufuatia kwa matatizo ... Read more »
CCM YATAKA WAZIRI WA KATIBA ZANZIBAR AJIUZULU CCM Blog 5/29/2012 0 Abubakar Khamis Bakar ZANZIBAR, Chama cha Mapinduzi kimetoa shindikizo kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kumtaka Waziri wa Sheria ... Read more »
IDDI SIMBA NA MWAKING'INDA WAFIKISHWA KIZIMBANI KWA 'KUIFILISI' UDA CCM Blog 5/29/2012 0 Na Mwandishi Wetu Iddi Simba akisindikizwa na Polisi kwenda kizimbani Waziri wa Viwanda na Biashara wa zamani, ambaye kwa sasa ni Mwenye... Read more »
SPEECH BY HIS EXCELLENCY JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, ON THE OCCASION OF THE NATIONAL LAUNCH OF GLOBAL 2013 SMART PARTNERSHIP DIALOGUE, 29TH MAY, 2012 CCM Blog 5/29/2012 0 His Excellency Ali Hassan Mwinyi, Second President of the United Republic of Tanzania; Honorable Bernard K. Membe, Minister for Foreign Affa... Read more »
SECURITY COUNCIL PRESS STATEMENT ON SYRIA CCM Blog 5/29/2012 0 UNITED NATIONS INFORMATION CENTRE – DAR ES SALAAM May 27, 2012 UNIC 2012/03/16 The members of the Security Co... Read more »
WAZIRI WA MAENDELEO FINLAND ATETA NA MAKAMU WA RAIS DK. BILAL CCM Blog 5/29/2012 0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wa Waziri wa Maendeleo wa Finland, Heidi Hauta... Read more »
WASHENZI WACHINJA MTU KAMA KUKU ARUSHA CCM Blog 5/29/2012 0 Na Rose Jackson,Arusha MTU mmoja aliyetambukika kwa jina Israe Ngonda(45) mkazi wa Kijenge juu jiijini Arusha amekutwa ameuawa kwa kuchinjw... Read more »
ECO BENKI/ PIC WAWEKEZA DOLA MILIONI 250 KWENYE MIRADI YA MAENDELEO CCM Blog 5/29/2012 0 Na Rose Jackson ,Arusha Benki ya Eco kwa kushirikiana na shirika la uwekezaji wa sekta ya umma la Afrika ya Kusini(PIC) imetia saini mkat... Read more »
VURUGU ZANZIBAR,CUF YATOA TAMKO CCM Blog 5/29/2012 0 Umma unashuhudia hali tete ya machafuko ambayo hayakutarajiwa yakiibukia tena Zanzibar ,wakati ambapo Nchi ilishaanza kunawiri matunda ya ut... Read more »
SEMINA YA WAPIGAPICHA ZA HABARI WAANDAMIZI YAFANYIKA LEO CCM Blog 5/28/2012 0 Mkurugenzi wa Mfuko wa Vyombo vya Habari-Tanzania Media Fund (TMF) , Ernest Sungura akifunghiua semina ya wapigapicha za habari waandamizi,... Read more »
MA-DC NA MA-RC WATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA CCM Blog 5/27/2012 0 Wakuu wa mikoa na wa Wilaya wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya jengo jipya la Utawala la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) walipotembelea chu... Read more »
MAMBO YA YANGA CCM Blog 5/27/2012 0 Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ilikutana Mei 26 mwaka huu ili kutoa mwongozo... Read more »
ARUSHA WAFUNIKA RUAHA HALF MARATHON 2012 CCM Blog 5/27/2012 0 IRINGA WAKAZI wa mjini Iringa mwishoni mwa wiki walishuhudia kwa mara ya kwanza wanariadha zaidi ya 320 wakichuana katika mbio za barabaran... Read more »
MAADHIMISHO YA SIKU YA AFRIKA YAFANA, LONDON-UINGEREZA CCM Blog 5/27/2012 0 Mheshimiwa Balozi wa Uganda, Mama Joan Rwabyomere, akifungua Maadhimisho ya siku ya Afrika hapa nchini Uingereza, katika sherehe ambazozili... Read more »
MISS DAR INTER COLLEGE KURINDIMA JUNI 8 CLUB SUNCIRO CCM Blog 5/27/2012 0 SHINDANO la kumsaka Miss Dar Intercollege 2012 linatarajiwa kufanyika Juni 8 kwenye ukumbi wa Sunciro, ulipo Sinza Shekilango jijini Dar es... Read more »
VITABU VYA MZEE MAKAMBA VYAZINDULIWA LEO NA MAKAMU WA RAIS CCM Blog 5/27/2012 0 Vitabu 'Binadamu na Kazi' na Ukweli kwa Mujibu wa Biblia, Kurani Tukufu, Suna za Mtume Muhammad (SAW) na Sheria za Nchi vilivyozind... Read more »
YANGA NA SIMBA WASHIRIKI UZINDUZI RASMI WA 100 TZ FLAVA YA BIA YA KILIMANJARO CCM Blog 5/26/2012 0 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager George Kavishe akizindua rasmi Kampeni ya 100% TZ Flava inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premi... Read more »
TASWA WAMPONGEZA MHARIRI WA MICHEZO TANZANIA DAIMA CCM Blog 5/26/2012 0 Tullo Chambo CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kimatoa pongezi kwa Mhariri wa Habari za Michezo wa gazeti la Tan... Read more »
MKE WA MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA WATANZANIA BOTSWANA CCM Blog 5/26/2012 0 Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi nchini Botswana baada ya kuzungumza nao jana j... Read more »
RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA ANGOLA CCM Blog 5/26/2012 0 Mjumbe maalum wa Rais wa Angola Dr.Andre de Oliveira Sango akiwasilisha ujumbe maalum kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu ndogo mjini D... Read more »
LLYOD NCHUNGA AACHIA NGAZI YANGA CCM Blog 5/24/2012 0 Baada ya vuta ni kuvute iliyogubika Klabu ya Yanga baada ya kukumbwa na mnikasa mingi ikiwemo kukumbwa na madeni na kufanya vibaya katika mi... Read more »
TIMU YA MALAWI YATUA LEO NCHINI CCM Blog 5/24/2012 0 Dar es Salaam, Tanzania Timu ya Taifa ya Malawi-The Flames (pichani) inatarajiwa kuwasili nchini leo jioni kwa ndege ya Air Malawi kwa ajili... Read more »
KATIBU MKUU WA CCM AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA AFRIKA KUSINI CCM Blog 5/24/2012 0 Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akizungumza na ujumbe wa wafanyabisahara kutoka Afrika Kusini, ulipokwenda ofisinbi kwake, Ofisi Ndogo ya ... Read more »
BIA YA KILIMANJARO YAZINDUA KAMPENI MPYA YA KILI-100% TZ FLAVA CCM Blog 5/24/2012 0 Meneja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akizungumza katika semina ya waandishi wa habari za michezo kuitambulisha kampeni... Read more »
MNYIKA ASHINDA KESI YA UBUNGE MAHAKAMA KUU LEO CCM Blog 5/24/2012 0 Mbunge wa Ubungo kwa tiketi ya Chadema, John Mnyika akiwa na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi Mkuu 2010,Hawa ... Read more »
HUKUMU UBUNGE WA MNYIKA LEO CCM Blog 5/24/2012 0 Mnyika Hukumu ya kuendelea kuwa mbunge au kutenguliwa Ubunge wa mbunge wa Ubungo John Mnyika ni leo kuanzia mida ya saa nne asubuhi hii. ... Read more »
IVITATION TO THE LAUNCH OF THE FIRST AFRICA HUMAN DEVELOPMENT REPORT 2012 CCM Blog 5/23/2012 0 The United Nations Development Programme (UNDP) cordially invites the media to the launch of the first Africa Human Development Report 2012 ... Read more »
PROFESA MWANDOSYA AAPISHWA LEO CCM Blog 5/22/2012 0 Waziri wa nchi katika ofisi ya Rais asiye na Wizara maalum Profesa Mark Mwandosya akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu... Read more »
BALOZI MPYA WA RWANDA HAPA NCHINI AWASILISHA HATI ZAKE KWA RAIS KIKWETE CCM Blog 5/22/2012 0 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho wa balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania Mhe.Benjamin Ruganguzi wakati wa hafla ... Read more »
WATATU WAUAWA KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI ARUSHA CCM Blog 5/22/2012 0 Na Rose Jackson,Arusha Watu watatu wanaotuhumiwa kuwa majambazi wameuwawa na wananchi wenye hasira kali katika eneo la Ngusero mjini hapa... Read more »
MWANAME ATESEKA NA UJAUZITO WA MIAKA MINNE, ARUSHA CCM Blog 5/22/2012 1 Rose Jakson- Arumeru KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja a julikanae kwa jina la Chausiku Selemani(48) mkazi wa maji ya chai m... Read more »
WASHIRIKI DAR INTERCOLLEGE 2012 KUANZA KUJIFUA LAMADA CCM Blog 5/22/2012 0 Na Mwandishi Wetu WAREMBO watakaoshiriki shindano la Miss Dar Intercollege 2012 leo wanatarajiwa kuanza mazoezi ya kujiandaa na shindano hil... Read more »
SHIBUDA AZIDI KUKOMALIA MSIMAMO WAKE KUGOMBEA URAIS 2015 CCM Blog 5/21/2012 0 Awaomba wanachama wa Chadema wamuunge mkono SHINYANGA SHIBUDA MBUNGE wa Maswa Magharibi kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendel... Read more »
RAIS KIKWETE ATEUA MAJAJI MAHAKAMA YA RUFANI CCM Blog 5/21/2012 0 RAIS KIKWETE Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani. Taari... Read more »
BALAA DUNIANI!!!. 93 WAUAWA NA 300 KUJERUHIWA KWA BOMU YEMEN CCM Blog 5/21/2012 0 Askari akiwa katika uokoaji WATU 90 wamekufa na wengine zaidi ya 300 kujeruhiwa vibaya katika shambulio la kigaidi lililotokea leo nchi... Read more »
WANACHUO WAPORWA NA MAJAMBAZI ARUSHA, WALIACHA GETI WAZI CCM Blog 5/21/2012 0 NA ROSE, ARUSHA WANAFUNZI wa Chuo cha Uhasibu, Njiro jijini hapa, wamevamiwa usiku na watu wanaoaminika kuwa ni majambazi na kuporwa vitu... Read more »
IFM MABINGWA SAFARI HIGHER LEARNING DAR CCM Blog 5/21/2012 0 Nahodha wa timu ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM), Charles Evance, akikabidhiwa Sh.500,000 na Ofisa Utamaduni wa Wilaya ya Kinondoni, Juma... Read more »