JK AAHIRISHA KUTOA HOTUBA YAKE YA MWEZI LEO; SASA KUITOA KWENYE MEI MOSI MJINI MORO CCM Blog 4/30/2011 0 "Hotuba ya mwisho wa mwezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, kwa mwezi huu wa Aprili, iliy... Read more »
FARAJA KIHONGOLE WA CHANEL TEN AFUNGA NDOA BAB-KUBWA CCM Blog 4/30/2011 0 Mwandishi Mwandamizi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel 10, Faraja Kihongole, leo amefungua ukurasa mpya katika kitabu cha maisha yake, kwa... Read more »
TANZANIA YALALA 3-1 KWA UGANDA CCM Blog 4/30/2011 0 MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 23 (U23), Amour Suleiman (kulia) akipambana na beki wa timu ya umri huo ya Uganda Owe... Read more »
JAJI MSTAAFU BARNABAS SAMATTA MGENI RASMI TUZO ZA EJAT; MZEE WA CHACHANDU DAILY NDANI YA KINYANG'ANYIRO CCM Blog 4/29/2011 0 NA MWANDISHI WA CHACHANDU DAILY MTAYARISHAJI wa Blogu ya Chachandu Daily, Bashir Nkoromo ni miongoni mwa wateule waliotinga katika fainali ... Read more »
MATOKEO KIDATO CHA SITA YATOKA, WAVULANA SAFARI HII WAONGOZA KUMI BORA CCM Blog 4/28/2011 0 Wavulana wamejitutumua na kufanikiwa kushika nafasi kumi bora katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika Februari mwaka huu.... Read more »
RAIS KIKWETE ATEUA KATIBU MKUU MMOJA NA NAIBU MAKATIBU WAKUU KUMI WA WIZARA MBALIMBALI CCM Blog 4/27/2011 0 Rais Jakaya Kikwete (pichani) amefanya uteuzi wa Katibu Mkuu mpya na Naibu Makatibu wakuu kumi. Katika hatua hiyo amemhamisha Katibu Mkuu m... Read more »
CCM Blog 4/27/2011 0 KATIBU Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) Amir Mhando (kushoto), akitangaza wanamichezo watakaochuana kuwa... Read more »
JUMUIA YA WAFANYAKAZI ZANZIBAR YAKUTANA NA DK. SHEIN CCM Blog 4/27/2011 0 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Makamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafan... Read more »
MAADHIMISHO MIAKA 47 YA MUUNGANO YANG'ARA, JK AYAONGOZA ZANZIBAR CCM Blog 4/26/2011 1 Rais Dkt.Jakaya Kikwete akiingia katika uwanja wa michezo wa Amaan mjini Unguja kuognoza sherehe za miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na ... Read more »
FILAMU YA KANUMBA NA M-NIGERIA KUTOKA JULAI MWAKA HUU CCM Blog 4/26/2011 0 Muigizaji wa filamu za Bongo, Steven Kanumba amesema filamu yake aliyocheza na M-Nigeria Ramsey Nouah ipo jikoni na inatarajiwa kupakuliwa... Read more »
ASKOFU ATAKA VIONGOZI WA DINI KUENDELEA KUOMBEA AMANI TAIFA BADALA YA KUSHABIKIA WANAOTAKA VURUGU CCM Blog 4/25/2011 0 Na Mwandishi wetu ,Iringa ASKOFU Boazi Sollo (pichani) amewataka viongozi wa dini kuendelea kuombea amani Taifa na kumwombea Rais Ja... Read more »
YALIYOJIRI TAMASHA LA PASAKA DIAMOND CCM Blog 4/25/2011 0 KICHEKO CHA 'MENO THELATHINI NJE' KWA RAIS! MBUNGE wa Rombo kwa tiketi ya CHADEMA, Joseph Selasini akimsalimia Rais Jakaya ... Read more »
BINTI DANDE ABATIZWA LEO KATIKA MISHAMRA-SHAMRA YA JUMATATU YA PASAKA CCM Blog 4/25/2011 0 PAROKO wa Kanisa Katoliki la St. Peter, Oysterbay, Dar es Salaam, Joseph Mosha, akimshikisha mshumaa wa kumuangazia amaishani mtoto Sharon ... Read more »
MIAKA 47 YA MUUNGANO: BAN KI MOON AMTUMIA SALAMU ZA PONGEZI RAIS JAKAYA KIKWETE NA WATANZANIA CCM Blog 4/25/2011 0 Rais Jakaya Kikwente na Ban Ki Moon NA MWANDISHI MAALUM, NEW YORK Wakati watanzania wakiadhimisha hapo kesho miaka 47 ya Muungano.... Read more »
ZIARA MAMA SHEIN KUSINI UNGUJA CCM Blog 4/24/2011 0 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akikata Utepe kuashiria kuweka jiwe la msingi la Jengo la Ushirika wa Saccos ua Muelekeo Mwema... Read more »
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA TIMU ZA MICHEZO ZA IKUKU ZANZIBAR NA DAR CCM Blog 4/23/2011 0 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wanamichezo wa Timu za Ikulu ya Zanzibar na Ikulu ya Dar es Salaam,wakati timu hizo z... Read more »
UJENZI MAKAO MAKUU MAPYA YA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI ( EAC) KUKAMILIKA AGOSTI MWAKA HUU CCM Blog 4/23/2011 0 Bw. Phil-Makini Kleruu Na Bernard Natha wa EANA, ARUSHA Ujenzi wa jengo jipya la kisasa la makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (... Read more »
STARS YATUA MAPUTO, MSUMBIJI:- WAMBURA AELEZA YALIYOJIRI CCM Blog 4/23/2011 0 a Stars iliwasili jana salama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo saa 5.52 asubuhi (saa 6.52 kwa saa za nyumbani) kwa ndege ya Kenya Air... Read more »
BAADHI YA YALIYOJIRI IBADA YA IJUMAA KUU LEO CCM Blog 4/22/2011 3 Muumini wa Kikristo akitungikwa msalabani kama Yesu katika igizo lililofanywa na Vijana wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) A... Read more »
MICHUANO KUSAKA BINGWA WA DARTS AFRIKA MASHARIKI KUANZA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM CCM Blog 4/22/2011 0 David Msambi akizungumza aleo ZAIDI ya wachezaji 300 wa mchezo wa Darts watachuana vikali, katika michuano ya kusaka bingwa wa Afrika M... Read more »
STATEMENT BY H.E. AMBASSADOR OMBENI SEFUE, PERMANENT REPRESENTATIVE OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA TO THE UN, ON THEAGENDA ITEM: THE SITUATION IN THE MIDDLE EAST, INCLUDING THE PALESTINIAN QUESTION, NEW YORK, APRIL 21, 2011 CCM Blog 4/22/2011 0 Ambassador Ombeni Sefue Mr. President , Thank you for convening this meeting. The United Republic of Tanzania is pleased to see Colombia ... Read more »