JK KATIKA MKUTANO WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MJINI ADDIS ABABA LEO CCM Blog 1/30/2011 4 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa Burundi Mheshimiwa Pierre Nkurunzinza mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa 21 wa Marais na Wakuu ... Read more »
UVCCM BADO WAIKOMALIA BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU ING'OKE CCM Blog 1/30/2011 0 Martine Shigella akizungua katika mkutano wa Shirikisho la matawi ya Umoja wa Vijana wa CCM, wa Elimu ya Juu, leo katika ukumbi wa Vijana, K... Read more »
WARSHA YA WAHARIRI KUHUSU NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA YAFANYIKA DAR CCM Blog 1/28/2011 0 JENERALI Umlimwengu akizungumza katika warsha ya wahariri kuhusu nafasi ya vyombo vya habari katika mchakato wa Katiba mpya, iliyofanyika le... Read more »
MAHAFALI YA TATU CHUO CHA KODI KUFANYIKA KESHO CCM Blog 1/28/2011 0 MKUU wa Chuo Cha Kodi, Patrick Mugoya, akizungumza na waandishi wa habari, jana mjini Dar es Salaam, kuhusu mahafali ya tatu ya chuo hicho... Read more »
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KUFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA NSSF ARUSHA CCM Blog 1/27/2011 1 KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii (NSSF), Ludovic Mrosso ambaye ni Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika hilo, akizungu... Read more »
MATOKEO KIDATO CHA IV, WASICHANA WAONGOZA KUMI BORA CCM Blog 1/26/2011 0 *Ufaulu waporomoka kwa asilimia 22.11 * Baadhi ya watahiniwa waandika matusi badala ya majibu! *Kituo cha Dar es Salaam, hafutwa. Hayo y... Read more »
AZAM MOTO; YAIKUNJA 5-1 ARUSHA FC CCM Blog 1/26/2011 0 BEKI wa Arusha FC, Daudi Magige (kushoto), akipambana na mshambuliaji wa Azam FC, Salum Aboubakar, timu hizo zilipomenyana leo kwenye Uwanja... Read more »
VODACOM YAJA NA SIMU YA WATU WENYE MATATIZO MACHO CCM Blog 1/26/2011 0 Mkuu wa kitengo cha Mauzo wa Vodacom Tanzania Upendo Richard akionyesha simu maalum kwa waandishi wa habari ambayo kampuni hiyo imeizindua l... Read more »
NGO ZINAZOJINUFAISHA KUPITIA MATATIZO YA WANAWAKE ZISIPEWE NAFASI-TANZANIA CCM Blog 1/26/2011 0 Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Ombeni Sefue, akizungumza wakati wa mkutano wa kwanza wa Bodi ya Chombo kipya cha Umoja wa Matia... Read more »
MAADALIZI TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA MWAKA HUU YAIVA: KURINDIMA FEBRUARI 9-13 NDANI YA MJIMKONGWE ZENJI. CCM Blog 1/25/2011 0 MKURUGENZI wa Busara Promotions, Yusuf Mahmoud, akizungumza na waandishi wa habari, mjini Dar es Salaam, leo, kuhusu maandalizi ya Tamasha ... Read more »
YANGA YATIA PINGU 2-0 POLISI DODOMA FC JIONI HII CCM Blog 1/24/2011 1 MSHAMBULIAJI wa Yanga Davies Mwape (kushoto), akichuana na beki wa Polisi Dodoma FC Nahoda Haji, timu hizo zilipomenyana leo kwenye Uwanja ... Read more »
RAIS KIKWETE AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI HAPA NCHINI CCM Blog 1/24/2011 0 Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha na baadaye kufanya naye mazungumzo Balozi wa Marekani hapa nchini Mheshimiwa Alfonso Lenhardt huko ikulu j... Read more »
SIMBA YALA MWELEKA KWA AZAM FC CCM Blog 1/23/2011 1 MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Jamal Mnyate, akimtoka beki wa Simba, Meshack Abel, timu hizo zilipomenyana leo kwenye Uwanja, Uwanja wa Taifa mjin... Read more »
JK AHUDHURIA KIKAO SEMINA YA WABUNGE WA CCM LEO CCM Blog 1/23/2011 0 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiingia katika ukumbi wa Blue Peal Hotel jijini Dar es Salaam, kuhudhuria semina hiyo, iliyoanza jana... Read more »
SHUJAA WA SAFARI LAGER APATIKANA KUTOKA SINZA KWA WAJANJA CCM Blog 1/22/2011 0 PAUL Luvinga, mkazi wa Sinza E, kwa wajanja jijini Dar es Salaam, ameibuka mshindi wa tuzo ya 'Shujaa wa Safari Lager' na kuondoka... Read more »
YANGA YAICHAKAZA ARUSHA FC 6-1 JIONI HII CCM Blog 1/21/2011 0 Shadrack Nsajigwa wa Yanga akichuana na Emmanuel Panju wa Arusha FC, timu hizo zilipomenyana leo kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam... Read more »
JK AKUTANA NA MKUU WA BARAZA LA COMMONWEALTH CCM Blog 1/21/2011 0 Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi mkuu wa Commonwealth Council Dr.Mohan Kaul(kushoto) pamoja na Mweye... Read more »
PRECISIAN WATOA OFA NAULI ZA NDEGE ZAKE CCM Blog 1/21/2011 1 Sasa Zanzibar-Dar, Sh. 35,000 kwa ndege za kudamka asubuhi tu. MENEJA Masoko wa Precision Air, Emillius Rwejura, akitangaza ofa ya nauli ya... Read more »
SAFARI YA SIMBA KWENDA BRAZIL YAOTA MBAWA CCM Blog 1/20/2011 0 Ni baada ya kushindwa sharti la kuifunga Atletico Paranaens ambalo mmiliki wa timu ya African Lyon aliyeileta Atletico hapa nchini. yatoka s... Read more »
JK AONGOZA KUAGA/MAZISHI YA JAJI MSTAAFU, DAN MAPIGANO CCM Blog 1/19/2011 1 RAIS Kikwete ameungana na mamia ya waombolezaji wakiwemo ndugu, majaji, mawakili na wafanyakazi mbalimbali wa tasnia ya sheria katika mazish... Read more »
YANGA YALALA 3-2 KWA ATLETICO CCM Blog 1/18/2011 0 MSHAMBULIAJI wa Yanga, Job Ibrahim akipambana na beki wa Gabliel Lima de Oliveira wa Altatico ya Brazil, timu hizo zilipomenyana leo kwenye ... Read more »
JK AWAAPISHA KAMISHNA NA KATIBU WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU CCM Blog 1/18/2011 0 RAIS Jakaya Kikwete, akimwaapisha Ali Hassan Rajabu kuwa Kamishna wa T ume ya Haki za Binadamu, Ikulu mjini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Chr... Read more »
BAADA YA KIPIGO CHA ZANZIBAR, PAPIC USO KWA USO NA PHIRI CCM Blog 1/17/2011 1 KOCHA wa Simba, Patrick Phiri na Kocha wa Yanga Costadin Papic, waki-chati nje ya hoteli ya Movenpick mjini Dar es Salaam, leo wakati wa mk... Read more »
MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI AATEMBELEA OFISI ZA UHURU /MZALENDO DAR CCM Blog 1/17/2011 0 Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Cassian Chibogoyo akifurahia jambo na Naibu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, wachapishaji... Read more »
MRADI WA MCHUCHUMA KUANZA KAZI KABLA YA JK KUMALIZA MUHULA WAKE CCM Blog 1/17/2011 0 Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo Tanzania (NDC) linalosimamia mradi huo, Dk. Clisant Mzindakaya, akimtanabahisha jambo kwa undani,... Read more »
CCM Blog 1/17/2011 1 DMI-St. Joseph College of Engineering and Technology Run by Sisters of Daughters of Mary Immaculate and Collaborators & Accredited by N... Read more »
BONANZA LA VODA KWA VYUO VIKUU DAR CCM Blog 1/16/2011 0 Mshambuliaji wa timu ya Chuo Kikuu cha Tiba cha kumbukumbu ya Hurbert Kairuki, Joseph Mtombabali (kushoto) akimtoka mchezaji wa Chuo Kikuu c... Read more »
BAN KI MOON ATAJA VIPAUMBELE VYA 2011 CCM Blog 1/16/2011 0 • AFRIKA KUPEWA UMUHIMU • ATAHADHARISHA KUWA MWAKA MGUMU Na Mwandishi Maalum New York-Kutokana na changamoto mbalimbali zinazoendelea ku... Read more »
JK APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS KIBAKI LEO, AKUTANA NA BALOZI KALAGHE JANA CCM Blog 1/14/2011 0 Mjumbe maalum wa Rais Mwai Kibaki wa Kenya, Mhe.Robinson Njeru Githae akimkabidhi RaisDr.Jakaya Mrisho Kikwete ujumbe kutoka kwa Rais Kibaki... Read more »
MABONDIA FRANCIS MIYEYUSHO NA JUMA FUNDI KUZIPIGA MWEZI HUU CCM Blog 1/14/2011 0 MABONDIA Juma Fundi (kushoto) na Francis Miyeyusho (kulia), wakitunishiana misuli, wakati likitangazwa pambano hilo leo katika Ukumbi wa Id... Read more »
MUUNGANO WA WANAJESHI WASTAAFU TANZANIA WAANZISHWA CCM Blog 1/14/2011 0 MWENYEKITI wa Muungano wa wanajeshi Wastaafu Tanzania, Assed Mayuggi, akionyesha hati ya usajili wa chama hicho, leo katika ukumbi wa Idar... Read more »
MKUTANO WA MAJAJI WANAWAKE WAFANYIKA LEO DAR CCM Blog 1/14/2011 0 Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani, aifunfua mkutano wa Majaji wanawake, leo katika ukumbi wa mikutabo wa kimataifa mjini Dar es Sal... Read more »
ABS LANUSURIKA KUPINDUKA CCM Blog 1/14/2011 0 ABIRIA waliokuwa katika basi hili la kampuni ya ABS iliyokuwa ikisafiri kutoka Iringa kwenda Dar es Salaam, wakiwa nje ya basi hulo baada ya... Read more »
MZEE WA CHACAHANDU DAILY NA RAFIKI YAKE FRANCIS DANDE WA BLOGU YA JAMII WAKIVUKA BAHARI KUTOKA ZENJI KWENDA DAR LEO CCM Blog 1/13/2011 0 Wakiwa katika boti ya kilimanjaro, kutoka Zanzibar kurejea Dar baada ya kushuhudia mtanange wa Simba na Yanga, ambapo yanga iklinyukwa mabao... Read more »
YANGA YALALA KWA SIMBA ZANZIBAR; YATUNGULIWA 2-0 CCM Blog 1/13/2011 2 TIMU ya Yanga imeshindwa kufurukuta kwa Simba, baada ya kutandikwa mabao 2-0, katika mechi ya fainali ya Kombe la Mapinduzi, kwenye Uwa... Read more »